MAHAFALI YA 4 KIDATA CHA SITA 2018, PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL!!!

MAHAFALI YA 4 KIDATO CHA SITA 2018 PREMIER GIRLS SECONDARY, WAHITIMU WAKIWA NA CONFIDENCE WALISOMA RISALA YAO MBELE YA MGENI RASMI
MR ABDUL BUKHETI AFISA ELIMU MOROGORO.

PREMIER SECONDARY SCHOOL IS GIRLS SCHOOL PROVIDING FOR BOARDING ONLY. OUR AIM IS TO PROVIDE ALL ROUND EDUCATION THAT EMPOWERS GIRL CHILD TO MEET ALL CHALLENGES OF LIFE. WE TRAIN OUR GIRLS TO DEVELOP NEW AND BETTER IDEAS INSTEAD OF MERELY RECORDING HISTORY MADE BY OTHERS. IT IS THEREFOR OUR PROMISE THAT PARENTS WON'T BE DISAPPOINTED WHEN THEY ENTRUST US THEIR CHILDREN 

SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIROMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO

CONTACT:: +255713760616 / +255654400064

SCHOOL WEBSITE:: PREMIERGIRLSSECONDARY (BONYEZA LINK)

VIONGOZI WA PREMIER SECONDARY WAKIWA TAYARI KUMPOKEA MGENI RASMI
MWALIMU MKUU WA SHULE AKIMKARIBISHA MGENI RASMI MH. DC
MWALIMU MKUU AKIMUONGOZA MGEN RASMI UKUMBINI
 WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WAKIINGIA UKUMBINI
MADAME AISHA MZEE MKURUGENZI WA SHULE AKIINGIA NA WANAFUNZI WAKE WAKICHEZA KWA FURAHA SANA
 WIMBO WA TAIFA
MWALIMU MKUU WA  MR. COHELET LUHWAGO PREMIER GIRLS SECONDARY AKITOA UTAMBULISHO
DIRECTOR WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL MRS. AISHA MZEE
MANAGER WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL MR. MZEE
ACADEMIC MISTRESS PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL MAYASA S. BAKARA
WANAFUNZI WAKIIMBA MASHAIRI
 BURUDANI TOKA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO
 WAHITIMU WAKISOMA RISALA
WAHITIMU WAKITOA ZAWADI KWA WALIMU
 DIRECTOR PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL CHIKU SALUM AKIPEWA ZAWADI NA WAHITIMU
 WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WAMKIMPA ZAWADI MADAME AISHA 
 BURUDANI TOKA KWA WANAFUNZI WA PREMIER SECONDARY
 ACADEMIC MISTRESS MAYASA BAKARI AKISOMA RIPORT YA MATOKEO YA SHULE
 WANAZAZI WAKITOA ZAWADI KWA WALIMU
 BURUDANI TOKA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY MRS AISHA MZEE AKISOMA RISALA 
 MKURUGENZI WA SHULE AISHA MZEE AKIKABIDHI HOTUBA KWA MGENI RASMI
WAHITIMU WAKIMPONGEZA MAMA YAO MKURUGENZI WA SHULE AISHA MZEE
 BURUDANI TOKA KWA WANAFUNZI WA PRIMIER SECONDARY
MUWAKILISHI WA WZAZI ....
 CAKE
WAHITIMU WALIKATA CAKE NA KULA NA WAZAZI PAMOJA NA WALIMU WAO
APASIA & SWEET MAMA... HONGERA
WAHITIMU WAKIMKABIDHI MGENI RASMI CAKE
  BURUDANI TOKA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO
 MANAGER WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL MR. MZEE AKIMKARIBISHA MGENI RASMI
MGENI RASMI MR ABDULI BUKHETI AKIONGEA NA WAHITIMU
 VYETI
WALIMU WAKIPAWA CERTIFICATE OF APPRECIATION 
WAHITUMU KUMI BORA WALIANZA KUPEWA VYETI
 CHAKULA 
NYUSO
MADAME ASHURA & FAMILY
MADAME AISHA AKIWA NA MDOGO WAKE KIPENZI
MADAM ASHURA & SWEET DAUGHTER 
APASIA
SHAISTA & FAMILY
SISTERZ...


Post a Comment

0 Comments