PRINCESS AMAYRA'S 40 MAULID!!!

Baby                                      :: Amayra Saleh Kibwana
Event                                     :: Maulid
Venue                                    :: Rehema Kayugwa Residence
Caterer                                  :: Dorka Catering
Decor                                     :: Susi_Events (instagram)
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
MASHAALAH PRINCESS AMAYRA MAULID, MAMBO NI MOTO UMETISHA REHEMA KAYUGWA, HONGERA SALEH & MKE, ALLAH AWAKUZIE

PRINCESS AMAYRA SALEH KIBWANA MASHAALAH!!
SO CUTE!!!
MASHAALAH ALLAH AWAKUZIE!!!
FAMILY...
DECOR.... BY SUSI DECORATION 
ZAWADI ZA REHEMA KWA MJUKUU WAKE AMAYRA
 MC MAMA SIMBA UMETISHA...
MAULID YAKISOMWA....
 MAMA NA MWANA WAKITOKA NJE BAADA YA MAULID
 CHAKULA BY DORKA CATERING
 MAMA NA MWANA WAKIINGIA NA VIVAZI VIPYA...
BIBI AKIMTUNZA KIPENZI CHAKE PRINCESS AMAYRA MADINI HAPANA CHEZEYA MAMBO NI MOTO...
BIBI NA KIBUBU CHA MJUKUU WAKE UMETISHA SHOSTI
BRACELET... 
AKIVISHWA MKUFUWA MADINI TU...
HERENI HIZO..
MASHAALAH PRINCESS AMAYRA
KIBUBU CHA AMAYRA HIKO KIMEANZA MIE NITAPATA KUWEKA YANGU MAANA INSHAALAH PANAPO MAJALIWA YAKE ALLAH BAADA YA MWAKA TUNAKIFUNGUA
MKE MWENZA AKIMPONGEZA REHEMA
REHEMA AKIMTUNZA MKWEWE...
REHEMA AKIKABIDHI ZAWADI YA FULL FURNITURE KWA MJUKUU WAKE...
MAMA AMAYRA AKIMSHUKURU MKWEWE REHEMA, ANASEMA SHE IS BLESSED KUWA NA MKWE ANAYEMPENDA SAWA NA MAMA YAKE MZAZI MASHAALAH
KAKA YAKE AMAYRA...
NI MWENDO WA DOLLAR...
 MC MAMA SIMBA AKITUNZWA NAYEYE
BIBIS DOTTO, KAY & NURU WAKIMTUNZA MKWE WAO MASHAALAH
 REHEMA AKITUNZWA NA MKE MWENZA WANAPENDAJE SASA... MAMBO NI MOTO
NURU NA MKWEWE WAKIMTUNZA REHEMA
FAMILIA IKIMTUNZA REHEMA...
 FAMILY...
SALHA & FRIEND WAKIMTUNZA MAMA 
MC MAMA SIMBA AKIMTUNZA REHEMA KAYUGWA... BIBI AKE AMAYRA
NYUSO
SALHA & BABY AMAYRA
SELFIE KAMA KAWA 
HAPPY BAGHDELLA
MY FRIEND KATTY COLLECTION
PACHA MMETISHA NA DESIGN YENU...
KEY, REHEMA, HAPPY & HELLEN
PENDEZA SANA
MAMA MZAA CHEMA MASHAALAH
DOTTO & KAY

Post a Comment

0 Comments