SALLY'S KITCHEN PARTY!!!!!

Bride                                      :: Sally
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Msasani Beach Kawe
Cake                                       :: @Poppycakecreations
Dressedby                             :: @Wedding Lydia
Makeup                                 :: @Jenheri_pr0_mua (insta)
Color                                      :: White, Red & Yellow
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
YES ITS SALLY KITCHEN PARTY BEAUTIFUL, MALKIA WA NGUVU 2018 KHADIJA KOPA KALIAMSHA UKUMBINI MAMBO NI MOTOO ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

BEAUTIFUL SALLY
SHE IS SO SWEET SALLY
AMAZING
 GORGEOUS!!!
SUPER  LOVELY....
LOVE THE DRESS.... STUNNING
BEAUTIFUL BRIDE
 MAMA'S LOVE
DECOR...
 MC JAMILA KITIMTIM, MC BOMBA WA UKWEE'E
BI AFUA AKIMUINGIZA MAMA MZAZI
MAWIFI WAKIINGIA SHARIFFA KAVU NA PAMBE YAKE WAKIINGIA
MC JAMILA KITIMTIM AKIMPOKEA PACHA WAKE 
BIHARUSI AKIINGIA
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
 SALA....
KAMATI...
KHADIJA KOPA AKITOA BURUDANI....
BIHARUSI AKIRUSHA ROHO..... NA MALKIA WANGUVU KHADIJA KOPA
MWARI AKIFICHULIWA
 INTRODUCTION.....
WIFIS WAKITAMBULISHWA
BAIKOKO LIVE...
 CAKE
SISTERZ FOREVER
 CHAMPAGNE 
 CHAKULA
RAHA ORIGINAL LIVE...... USTAADHI
MAMA MZAZI AKIKABIDHI SANDUKU
MAMA MZAZI AKITUNZWA
MAWIFI WAKIMTUNZA SANDUKU WIFI YAO SALLY
AISHA MMETISHA....
PAMBE ZAKIA
WIFI SHARIFFA KAVU  AKIKABIDHI MSWALA NA MASAAFU TUKUFU
WIFI SAADA AKIONGEA....
PENDEZA SANA SALLY NA WIFI YAKO....
DADA AKIMTUNZA MDOGO WAKE HAPANA CHEZEYA
MAMA AKITUNZWA
BIHARUSI AKIMTUNZA MAMA MZAZI
 SALLY AKIWATUNZA WIFI ZAKE SHARIFA & SAADA
 NYUSO
SHARIFFA KAVU SELFIE
AISHA MAKAME & KITENGE
KITENGE, SHARIFA KAVU, ZAKIA & SAADA
BYE BYE BRIDE TO BE...

Post a Comment

0 Comments