HALIMA'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Halima Mtengeti
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: PJ Hall
Makeup                                 :: Shuu Salon
MC                                         :: Muu
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
WELCOME BACK WADAU, NI KITCHEN PARTY YA HALIMA, BINTI YAKE AISHA MTENGETI MASHAALAH PENDEZA SANA UMEDAMSHI BIHARUSI, SHUGHULI PAMBE HONGERA MAMA MZAZI KUYAWEZA UMEYAWEZA WIFI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

BEAUTIFUL BRIDE!!!!
STUNNING BABY GIRL
MAKEUP BY SHUU SALON
MAMA NA MWANA MASHAALAH!!!
PENDEZA SANA...
DECOR....
CAKE
ZAWADI
MC MUU 
MAMA MZAZI AISHA MTENGETI AKIINGIA UKUMBINI 
 PENDEZA SANA MAMA YAKE HALIMA
MAMA MZAZI
 KIVURANDE WA KIBAO KATA AKIMUINGIZA BI HARUSI
 PRETTY BRIDE HALIMA AKIINGIA...
 MASH ALLAH HALIMA!!!!
 SOMO NA MWARI
 PAMBE YA MASHANGAZI MMENOGAJE....
 MWARI AKIFICHULIWA....
 MWAMNTUM MALALE SHANGAZI
 PAMBE YA KAMATI
 MWENYEKITI AKIKARIBISHA WAALIKWA....
 CHAKULA CHA MCHANA....
 RAHA ORIGINAL WAKITOA BURUDANI
 HALIMA AKKINGIA NA NGUO YA PILI, LADY IN RED
 PAMBE MTOTO WA MAMA YA MUJINI AISHA MTENGETI
MASHAALAH!!
 BEAUTIFUL BRIDE
 LOVELY

INTRODUCTION 

 SWEET MAMA...
 CAKE
 HALIMA AKIPOKEA ZAWADI
   
 BIBI AKIMPA MJUKUU WAKE ZAWADI YA DRESSING TABLE
WIFIS
KHADIJA MOLLEL CHIMUKE AKIMPA MWANAWE HALIMA ZAWADI YA KABATI
 MAMA MZAZI AKITUNZWA
MAMA MZAZI AKIMKABIDHI BINTI YAKE ZAWADI
FURAHA ILIYOJE... UMEWEZA SHOSTITO
 HONGERA AISHA WIFI YANGU....
 ASANTE MAMA YANGU KIPENZI
 KAPU LA MAMA
 MARAFIKI WA HALIMA...
 ODO HADIA AKIMTUNZA BINTI YAKE FRIDGE 
AISHA AKITUNZWA MAHERA HAPANA CHEZEYA
ANNACLARA AKIMTUNZA DADA YAKE AISHA MTENGETI
HALIMA AKIMPA ZAWADI YA ASANTE MAMA MZAZI
KISHA AKAMTUNZA.....
HALIMA AKIMTUNZA SOMO YAKE
HALIMA AKIMTUNZA ODO HADIA
PAMBE YA KAMATI IKIKABIDHI DINNING TABLE KWA BIHARUSI
SHUU AKICHEZA NA MAMA MZAZI
FATMA GOROFANI & JOHA MAKUTI WAKIMTUNZA MAMA MZAA CHEMA
 CHAKULA CHA USIKU....MAMBO YA BITES UMETISHA AISHA MTENGETI
MAMA MZAZI AKITOA SHUKRANI KWA WAALIKWA
NYUSO
 DYNESS & FRIENDS
SELFIE FARIDA SIMBA & AISHA
FATMA KAVU & FRIEND
PAMBE YA FRIENDS OF JANGWANI WAKIMSUPPORT AISHA MTENGETI
KANEKA...
MWARI WAKE AISHA MTENGETI PENDEZA MWARI
AISHA & FRIENDS OF JANWANI
SHUU...
FRIENDS FOR LIFE
SHANGAZI NA BINTI YAO
AISHA, I & FATMA KAVU
DADAZ
HALIMA & RAFIKI
KWANDAM FAMILY
 MAMA MZAA CHEMA AISHA MTENGETI
FATMA KAVU
 I & SHUUSALOON, MAMA YA MAKEUP
MUA:: KHADIJA ROZELLA 0713443535, DRESSED BY JOKHA SIMBA-0715612954
 AISHA MTENGETI & FARIDA TOM.
BYE BYE HALIMA..


Post a Comment

0 Comments