SHEREHE ZA MAHAFALI YA KIDATO CHA IV 2018, PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL!!!!

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE PREMIER GIRLS 2018, SHULE YA PRIMIER GIRSL SECONDARY SCHOOL INAENDELEA KUFANYA VINZURI, MGENI RASMI MRS. ASHA BILAL AMEWAKABIDHI VYETI WAHITIMU, WANAFUNZI WAMEANDALIWA KITAALUMA KATIKA FANI MBALIMBALI PAMOJA NA SANAA, MICHEZO, MKURUGENZI WA SHULE MRS. AYSHA SHAMTE AMESOMA RISALA YA SHULE KWA WAGENI WAALIKWA.

PREMIER SECONDARY SCHOOL IS GIRLS SCHOOL PROVIDING FOR BOARDING ONLY. OUR AIM IS TO PROVIDE ALL ROUND EDUCATION THAT EMPOWERS GIRL CHILD TO MEET ALL CHALLENGES OF LIFE. WE TRAIN OUR GIRLS TO DEVELOP NEW AND BETTER IDEAS INSTEAD OF MERELY RECORDING HISTORY MADE BY OTHERS. IT IS THEREFOR OUR PROMISE THAT PARENTS WON'T BE DISAPPOINTED WHEN THEY ENTRUST US THEIR CHILDREN 

SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIROMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO

CONTACT:: +255715836237/ +255719343590/+255654046012

SCHOOL WEBSITE:: PREMIERGIRLSSECONDARY (BONYEZA LINK)

MGENI RASMI MRS. ASHA BILAL AKIINGIA
WAHITIMU WA KIDATO CHA IV PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL WAKIINGIA KWA MBWEMBWE NA FURAHA
WIMBO WA TAIFA
COHELET LUHWAGO HEADMASTER PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AKITOA UTAMBULISHO
BURUDANI TOKA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL 
 KIONGOZI WA WAHITIMU AKISOMA RISALA YA WANAFUNZI
ACADEMIC MISTRESS MAYASA BAKARI AKISOMA ACEDMIC RIPOTI YA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL 
BURUDANI TOKA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL 
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AYSHA MZEE AKISOMA RISALA YA SHULE
 MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AYSHA MZEE AKIKABIDHI ZAWADI KWA MGENI RASMI MRS. ASHA BILAL
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AYSHA MZEE 
BURUDANI TOKA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO TASUBA
 MAMA FATMA BILAL AKIONGEA NA WAHITIMU KWA NIABA YA WAZAZI
 BURUDANI TOKA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO TASUBA
MGENI RASMI MRS. ASHA BILAL NI MAMA MLEZI WA PRIMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AKIONGEA NA WAHITIMU
WAHITIMU WA KIDATO CHA IV 2018 WAKIWAPA ZAWADI WALIMU
 WAZAZI WA WAHITIMU WAKIWAPA ZAWADI YA CAKE WALIMU
 VYETI
WALIMU WAKIPEWA VYETI VYA APPRECIATION KWA KAZI NZURI WALIOONYA
WANAFUNZI WALIOFANYA VINZURI KATIKA MASOMO MBALIMBALI NA KUONYESHA NIDHAM WAKIKABIZIWA VYETI 
 MH. GODWIN GONDWE MKUU WA WILAYA YA HANDENI AKIMPONGEZA BINTI YAKE
MGENI RASMI ASHA BILAL
WAZAZI WA WAHITIMU WAKITOA ZAWADI KWA WAALIKWA
WAZAZI WAKIMPA MKURGENZI ZAWADI YA KHANGA - GOD BLESS YOU
 WAGENI RASMI WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA
NYUSO
COHELET LUHWAGO HEADMASTER PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL
ACADEMIC MISTRESS MAYASA BAKARI
HONGERA ZAINAB
ZAINAB & FRIEND
MADAME CHIKU - SCHOOL DIRECTOR
 MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AYSHA MZEE AKIWA NA ZAKIA & ASHA BILAL
ZAKIA BILAL, AYSHA MZEE, ASHA BILAL & I
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AYSHA MZEE PAMOJA NA WAGENI RASMI
WAZAZI WARDA & SLIM SHAMTE PAMOJA NA BINTI YAO ZAINABU
WARDA, I & MADAME CHIKU
MR & MRS SHAMTE
ZAKIA BILAL & AYSHA MZEE
ZAINAB SHAMTE MHITIMU WA KIDATO CHA IV 2018 PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL 
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AISHA MZEE & MGENI RASMI MRS. ASHA BILAL
I & MADAME CHIKU SCHOOL DIRECTOR
MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL AISHA MZEE & FATMA BILAL 
MADAME CHIKU & MR. NASSIR
WALIMU NA WAFANYAKAZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY SCHOOL PAMOJA NA WAGENI RASMI 
 WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE (IV)


Post a Comment

0 Comments