ALICE's SINGO PARTY!!!

Bride                                     :: Alive (Loveness) Mwakatika
Event                                     :: Singo Party
Venue                                    :: Chichi Hall
MC                                         :: Jamila Kitimtim
Caterer                                  :: Solax Catering
Dressedby                             :: Marshanaa (Instagram)
Decor                                     :: Hugo Domingo
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SINGO PARTY YA MWARI WAKE JUNAITHAR, AKISINDIKIZWA NA MASOMO WENZAKE WATOTO MUJINI, MASHAALAH ALICE PENDEZA SANA HONGERA KWA MARSHANAA KWA KUMVISHA MREMBO  & PERFECT MAKE TOKA KWA AMERICAN NAILS MMETISHA

LOVELY....
BEAUTIFUL BRIDE TO BE
 STUNNING ALICE
 SOMO NA MWARI MASH ALLAH
SOMO JUNAITHAR
SOMO AKIANGAIKA NA MWARI...
DECOR
 SOMO JUNAITHAR NA PAMBE YAKE WAKIINGIA UKUMBINI 

WAZAZI WAKIINGIA
 MASOMO WAKIMUINGIZA MWARI WAO
SALA YA KUFUNGUA SHUGHULI
WANAKAMATI WA SINGO YA ALICE
MWARI AKIFICHULIWA
MWARI AKIFICHULIWA....
ALICE....
 KIVURANDE WA KIBAO KATA AKIWAINGIZA MASOMO NA NDUNDU
JUNAITHAR, SHARIFFA, PHINA, KITENGE & SHUSHU
JUNAITHAR AKIMTUNZA MAMA MZAZI.....
MAMA NA MWANA
MAMA MWAKATIKA, MAMA MZAZI AKIONGEA
 SOMO AKIMPA ZAWADI MWARI WAKE SET YA MADINI NI DHAHABU UKO JUU JUNAITHAR UMEYAEZA
 JUNAITHAR AKIMTUNZA SHARIFFA KAVU
JUNAITHAR & SHARIFFA KAVU
SHARIFFA KAVU WA SHERRIEFASHION AKITUNZA
MAMA KIBUNJU UKO JUU HAPANA CHEZEYA...
MOO CHAKA AKIFANYA YAKE...
MISHY & SHARIFFA WAKITUNZA....
SHUSHU AKITUNZA
WANACHAMA WA KIKUNDI WAKIMKOSHA JUNAITHAR
SAADA WA JESSE & REHEMA MTAYA WAKIMTUNZA JUNAITHAR
 MWAHIJA NGUNDE - QUEEN OF FABRICS AKIMKOSHA JUNAITHAR
 DIANA AMERICAN NAILS AKITUNZA...
WAFANYAKAZI WA JUNAITHAR BEAUTY & FASHION WAKIMTUNZA BOSS, UKO JUU JUNAITHAR 
SALMACONE & MIRIAM WAKITUNZA
PHINA & KITENGE WAKIFANYA YAO
SHUU SHAY AKIMTUNZA SI KWA MIHELA HIYO UMETISHA
 MASHA AKIMTUNZA JUNAITHAR 
 FIRSTLADY  MRS CHACHA OG AKIMKOSHA SOMO
WAZAZI WAKIMTUNZA JUNAITHAR
DYNESS MAMA YA DECOR AKIMKOSHA JUNAITHAR
 CHAKULA
BURUDANI
NYUSO
MARY & KAYDUBAI
TABU MABOBISHI
SHARIFA & MISHY
 SHUSHU
PHINA
DIANA & YOHANA
GREEN CARPET

Post a Comment

0 Comments