SHAMIMU'S KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Shamimu
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Majestic Hall
MC                                         :: Isha Mashauzi
Fabrics,Gele&Ipekeby        :: Angel Mwasha
Dressed Designby                :: Rozella Fashion
Color                                      :: Red & Apple Green
Caterer                                  ::  Anna Catering
Makeupby                            :: Ndeku Salon Arusha
Decor                                     :: Anna
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA MASHAALAH SHAMIMU PENDEZA SANA, HONGERA MAMA MZAZI KHADIJA UMEWEZA SHUGHULI PAMBE, KUDAMSHI KAMA KOTE KUONA PICHA ZAIDI CLICK 

HAPPY BRIDE SHAMIMU
SO SWEET...
LOOKING LOVELY!!!!
MASHAALAH!!!
STUNNING SHAMIMU
DECOR....
CAKE
MC SUPER STAR ISHA MASHAUZI
MAMA MZAZI AKIINGIA
OUR BRIDE IS HERE...
BIHARUSI AKIINGIA....
MAMA MZAA CHEMA KHADIJA A.K.A HK
BEAUTIFUL SMILE 
SHAMIMU AKIWAPOKEA MAIDS WAKE
SHAMIMU AKITAMBULISHA FAMILIA
MAMA MZAZI KHADIJA AKIKARIBISHA WAALIKWA
DUA....
MWARI AKIFICHULIWA
SHAMIMU AKIKATA CAKE
SHAMIMU AKIMLISHA MAMA KIPENZI KWA HESHIMA ZOTE
SHAMIMU AKIMLISHA MAMA MDOGO ANGEL CAKE
SHAMIMU AKITOA ZAWADI YA CAKE KWA WAALIKWA
SHAMIMU AKIMPA ZAWADI SOMO YAKE
SOMO MARIAM MNTAMBO AKIONGEA NA MWARI WAKE
MAMA KHADIJA AKIONGEA NA BINTI YAKE KIPENZI
MAMA AKIPONGEZWA
KINA MAMA WAKIONGEA NA SHAMIMU
SHAMIMU AKIENDA KWA MAMA MZAZI
SHAMIMU AKIMTUNZA MAMA YAKE KIPENZI WAX YA UKWEE'E
KISHA AKAMKOSHA NA WEKUNDU WA MSIMBAZI....
ASANTE MAMA
MAMA NA KIPENZI CHAKE MASHAALAH
MAMA NA MWANA MASHAALAH!!!
MAMA MZAZI AKITUNZWA
REHEMAO & SHOSTITO WAKIMTUNZA MAMA MZAZI
MC MAGONGO AKIMTUNZA MAMA MZAZI
MAMA MZAZI KAHDIJA AKIMTUNZA SANDUKU BINTI YAKE
WADOGO ZAKE SHAMIMU WAKITUNZA
BI HALIMA AKITUNZA
REHEMAO AKITUNZA
SHAMIMU AKITUNZWA DUVET LA UKWEE'E CHEZEYA WANA ILALA
SOMO NA MWARI 
CHAKULA
 LIVE BURUDANI BY ISHA MASHAUZI
SALHA MNTAMBO AKITUNZA
MIE NA AISHA WANGU UMENIKONGA MOYO
KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI
MWENYEKITI WA KAMATI ANGEL MWASHA WAKIKABIDHI ZAWADI KWA BIHARUSI
NYUSO
REHEMEO & FRIEND
BEAUTIFUL LACE PENDEZA SANA
SARE PAMBE
AMAZING LOOK!!! MARIAM MNTAMBO
 MZURI WA SURA NA ROHO PENDEZA SANA
 MARIAM MNTAMBO & ASHLEY
MMEDAMSHI KAMA YOTE
PAMBE EEEH!!!!
SHUU SALON & FRIEND
SHARIFFA KAVU BESTIES
MAMA MZAZI KHADIHA A.K.A HK NA WADOGO ZAKE VIPENZI
ISHA NA BIHARUSI WAKE MASHAALAH
BEAUTIFUL LADY
MAMA MZAA CHEMA & WADOGO ZAKE VIPENZI
ANGEL MWASHA, ISHA MASHAUZI & SHAMIMU
WASTARA & FRIENDS
BLOOD SISTERZ FOREVER
SISTERZ
ANGEL & BESTIE WKIWA NA BIHARUSI
SWAGGA VIBANDIKO
ANGEL, MARIAM, SALHA, HELLEN & ASHLEY
 BYE BYE SHAMIMU


Post a Comment

0 Comments