AMINA'S DAY!!!!

Bride                                     :: Amina Haji
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Golden Jubilee Tower
MC                                         :: Jamila Kitimtim  (mc.j_kitimtim) Insta
Color                                      :: Peach & Gold
Caterer                                  :: Najma Catering (Ankal Yahya)
Green Banner                      :: Mashughuliblog
Decor                                     :: Desertrosedecor
Dressedby                             :: Elisha Red Label 
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
CONGRATULATIONS MY AMINA MASH ALLAH KUDAMSHI KAMA KOTE, PERFECT MAKEUP & HAIRSTYLE BY LAVIE MAKEUP, NGUO IMEKAA MAHALA PAKE CONGRATS ELISHA RED LABEL, SHUGHULI PAMBE LIVE MELODY TAARAB WAMEBURUDISHA. MC JAMILA KITIMTIM AMEEMDESHA SHUGHULI PROFESSIONAL, DECOR YA UKUMBI BY DESERTROSEDECOR UMETISHA, DELICOUS FOOD BY NAJMA CATERER NISIMALIZE UONDO WADAU CLICK TO SEE ALL OFFICIAL PICTURES

BEAUTIFUL BRIDE AMINA
ABSOLUTELY GORGEOUS 
MASHAALAH!!!
YOU ARE GORGEOUS!!!
STUNNING BABYGIRL
BEAUTIFUL OUTLOOK
QUEENING......
PRETTY AMINA
MOTHER OF THE BRIDE &  AMINA
MAMA NA MWANA KUDAMSHI KAMA KOTE
MRS. ASHA HAJI MOTHER OF THE BRIDE
FAMILY
ODO & BINTI YAKE MASHAALAH
SISTERZ FOREVER
FATMA MY FORMER BRIDE
SISTERZ FOREVER!!!
FAMILY...
DECOR.......///
MC JAMILA KITIMTIM
BONYEZA LINK KUONA KAZI ZAKE INSTAGRAM MC JAMILA INSTAGRAM
WAKWE WAKIINGIA...
MAMA AKIINGIA
MAMA AKIPOKELEWA NA MAMA YAKE MZAZI MASH ALLAH
MALIKIA AKIINGIA....
MASH ALLAH AMINA PENDEZA SANA

BEAUTIFUL....
MAMA AKIMPOKEA MWANAYE....
BIBI AKIOMBA DUA...
KAMATI....
AMINA AKIFICHULIWA
INTRO.....///
AMINA & MAMA ZAKE MASHAALAH
AMINA NA MKWEWE
CAKE....///
MWARI NA SOMO
 CHAMPAGNE
 YOU ARE BEAUTIFUL !!!!!!
BURUDANI
ZAWADI
MAMA ZAZI AKMTUNZA MADINI BINTI YAKE
 BIBI AKIMTUNZA MJUKUU WAKE
WAFANYAKAZI WENZAKE MAMA HAJI WAKIMTUNZA 
  SOMO AKITUNZA
SOMO AKISASAMBUA SANDUKU
MC JAMILA NA YEYE NI MWANAFAMILIA AKITUNZWA
SOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE MILLION MOJA
BIBI AKITUNZWA NA SOMO...
 BIBI AKITUNZWA NA SHOGA YAKE KIPINI CHA PUA, MAMBO YA TANGA HAYO
KAMATI IKIKABIDHI MFANO WA HUNDI MILLION 5
 AMINA AKIMTUNZA MAMA YAKE MADINI UMETISHA....
 THIS IS FOR YOU SWEET MAMA....
 AKAMVISHA PETE
 
AKIMVISHA SAA 
UNCONDITIONAL LOVE... 
AMINA AKIMPA ZAWADI ODO
 
MAMA HAJI KATUNZWAJE
 
SHURTI KWA KIJISANDUKU 
 WAKWE WAKIMTUNZA AMINA
 BEST FRIENDS FOR LIFE WAKIMTUNZA AMINA NA MAMA
MARAFIKI WAKIMPA ZAWADI AISHA 
MAMA AKITUNZWA
AMINA AKIWAPA ZAWADI DADA ZAKE
FADHILA AKIMTUNZA DADA YAKE
DADA AKIMTUNZA  MAMA HAJI
AMINA AKIMVIKA MAMA YAKE TAJI LA PESA NA BENDERA....
 
WAZAZI WAKITUNZWA....
BEST FRIENDS WAKIMKOSHA AISHA
 MAMA AKITUNZWA NA VIPENZI VYAKE
CHAKULA BY ANKAL YAHYA NAJMA CATERER
NYUSO
ODO YAKE AMINA MASH ALLAH!!!!
MY CHAMPION AISHA PENDEZA SANA
MY BEAUTIFUL SISTER FATMA KIMARIO
I NA SWAGGA YA KIBANDIKO VINAPATIKANA PIGA SIMU 0655426100
MY MAKEUP BY MUMMY UKITAKA MAKEUP KAMA HII FOLLOW INSTA 
 
SISTERZ!!!!!!
 GREEN CARPET
 ANKAL ABDI
STUNNING BABYGIRL FADHILA
MWANAHAWA ALLY & UNCLE ABDI
MY BABYGIRL MC JAMILA'S DAUGHTER
THANK YOU MRS HAJI I LOVE YOU MORE!!!
WITH MY NEXT BRIDE ALLAH BARIK INSHALLAH
BYE BYE AMINA KILA KHERI INSHAALAH!!!Post a Comment

0 Comments