FARIDA'S KICTHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Farida Shomari
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: PJ Hall
Color                                      :: Red, Yellow & gold
Designer                                :: Joyce Magoha
Caterer                                   :: Hussein
Makeupby                              :: Shuu Salon
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
YES UMEDAMSHI SIKU YAKO MUHIMU, LADY IN RED IMEKUFUNUAJE, HONGERA SHUU SALON NA DESIGNER JOYCE MAGOHA SHUGHULI PAMBE, SOMO NA PAMBE YAKE MMETISHA

SULTANAA...
 QUEENING FARIDA 
GORGEOUS BRIDE 
LOVELY & BEAUTIFUL
 MASH ALLAH!!!!
AMAZING!!!
 KUDAMSHI KAMA YOTEEEEE....
 STUNNING BRIDE
 MAMA NA MWANA
 LOVE....
SALMA & FARIDA
DECOR....//
 CAKE
ZAWADI
MALAIKA WAKISAFISHA NJIA...
 MAMA MZAZI AKIINGIA
 SOMO MRS. KITITA AKIINGIA NA PAMBE YAKE
 BIHARUSI FARIDA AKIINGIA.....
 DUA....///
STUNNING BABYGIRL
WANA KAMATI WA UKWEE'E, KAMATI NDOGO....
 INTRODUCTION
 FARIDA AKIKATA CAKE
 CHAMPAGNE
 BEAUTIFUL FARIDA
 WAZAZI WAKIONGEA NA FARIDA
 MWARI AKIFICHULIWA
 MAMA MZAZI AKIMTUNZA BINTI YAKE FARIDA
MAMA MZAZI AKIMKABIDHI BINTI YAKE KITANDA
MAMA NA MWANA MASH ALLAH
DADA KIPENZI HALIMA AKIMTUNZA MDOGO WAKE KABATI LA NGUO
MAMA MLEZI AUNT JOHARI AKIMTUNZA BINTI YAKE
SOMO MRS KITITA NA PAMBE YAKE MMEDASHI KAMA YOTE
 AKIMKABIDHI KABATI YENYE VYOMBO NDANI UKO JUU SOMO
PAMBE YA SOMO YA UKWEE'E
WAKWE WAKIMTUNZA FARIDA
WANA KIKUNDI UPENDANO GROUP WAKIMTUNZA FARIDA
 HAPPY AKIMKOSHA FARIDA UKO JUU!!!
 FAMILIA YA MUMBA IKIMTUNZA FARIDA
 FARIDA AKITUNZWA NA RAFIKI ZAKE WALIOSOMA WOTE
 MAMII AKIMTUNZA FARIDA DRESSING TABLE 

 SADA & SALMA WAKIMTUNZA FARIDA SOFA SET
MAMA ARAFA TAMBA
KIKUNDI CHA AL NUUR TOKA MBURAHATI NHC WAKIMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO FARIDA
 SOMO AKIENDELEZA KUTUNZA
FARIDA NA PAMBE YA SOMO
MAMA MZAZI AKIMTUNZA SOMO
 FARIDA AKIWATUNZA WAZAZI
 FARIDA AKIMTUNZA SOMO YAKE
CHAKULA
NYUSO
PAMBE YA SOMO KUDAMSHI KAMA YOTE
MAMA MZAA CHEMA PENDEZA SANA
ZAINAB BINTI YAKE FARIDA
GREEN CARPET
I & MAMA TAMBA MISS YOU MY DADA
BYE BYE KILA KHERI KWENYE NDOA

Post a Comment

0 Comments