SARA'S SINGO PARTY!!!!!

Bride                                      :: Sara
Event                                     :: Singo  Party
Venue                                    :: Khadijarozella Residence
Color                                      :: Red, Yellow , Gold & Blue
Designer                                :: Marshanaa
Decor                                      :: Juche
Makeupby                              :: Khadijarozella
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SINGO YA SARA MWARI WAKE KHADIJAROZELLA MUTOTO YA MUJINI, HONGERA SOMO SI KWA SHUGHULI PAMBE, MPAKA WATU WANAGOMA KUONDOKA?? KIBAO KATA LIVE, SARE PAMBE IMENOGAJE,,, MAMBO YA WASTARAABU....

MWARI WAKE KHADIJAROZELLA UMEDASHI, KAVISHWA NA MARSHANAA
SO SWEET
YOU LOOK HAWT
DRESSED BY MARSHANA
JISHEBUDUE MWARI WETU
KHADIJA NA MWARI WAKE KIPENZI SARA
MMEDAMSHI
SOMO MAKINI KHADIJAROZELLA
SOMO MAHIRI UKO JUU KHADIJA
MAMA NA MWANA
 KHADIJAROZELLA AKIMTOA MWARI WAKE...
 KIVURANDE WA KIBAOKATA AKIMFICHUA MWARI LIVE
UMETISHA SOMO SI KA MAMBO HAYA!!!!
MWARI NA SOMO


 BEAUTIFUL SARA
ZUU SI KWA CHEKO HILO UKIDAMASHI UNARINGAJE
JASMINIAFUA & KHADIJA ROZELLA
MARSHANA, KHADIJAROZELLA & MARY TEMBA
FATMA KAVU & PAMBE YAKE... SARE IMENOGA HATARI
 
TIFFAH & SHOSTI AKE 
WATOTO WA JANGWAANI 
ZUUU & SOMO KHADIJA ROZELLA
 
UMEDASHI SHOGA YANGU ZUUU
MAMA MZAZI NA PAMBE YAKE
SARE PAMBE VIJUSO VIMENOGAJE
WATOTO WA MUJINI KUDAMSHI KAWAIDA YAO
ZUHURA & MWARI

Post a Comment

0 Comments