CELEBRATING BABY SAMEER'S DINNER!!!!

Event                                     :: Celebrating Baby Sameer 40
Venue                                    :: Madenge's Residents
Color                                      :: Maroon & Green Apple
Cake                                       :: Philly all Occasion cake
Decor                                     :: Simplyspecialdecor
Makeup                                 :: Perfectglow_tz
Dressedby                             :: Secky Land of Fashion
Hairby                                   :: Bonita Salon
Caterer                                  :: Ankal Yahya
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
YEES!!! BAADA MAULID TUKAINGIA KWENYE DINNER, HII ILIKUWA NI SPECIAL KWA AJILI YA MARAFIKI NA NDUGU KUWAPONGEZA BABA NA MAMA SAMEER, MAMBO NI MOTOOO KATA MTI PANDA MTI SI KWA ZAWADI HIZO BIBI YAKE SAMEER NA UNTY HUSNA MMETISHA, DECOR YA UKUMBI CLASSIC, DELICOUS FOOD TOKA YAHYA CATERER ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

MOODY MADENGE ONE MAN PEACE IN TOWN
BEST COUPLE
BEAUTIFUL!!!!
MASH ALLAH LOOKING GORGEOUS 
 BEAUTIFUL MAMA SAMEER
 DECOR....
 MC WA UKWEE'E JAMILA KITIMTIM
BABU NA BIBI WAKIINGIA...
MOODY AKIWATUNZA WAZAZI WAKE
WAKISHEREKEA MIAKA 40 YA NDOA
MZEE MADENGE NA MKEWE WAKIKATA CAKE YA MIAKA 40 YA NDOA
BABA NA MAMA WAKIPONGEZWA
MC & BOSS WAKE....
KUDAMSHI KAMA YOTE HUSNA MADENGE
 MZEE MADENGE AKIMTUNZA SABAHA, NI MPENZI SANA WA NYIMBO ZAKE
SABAHA AKIWAINGIZA MOODY NA MKEWE
MOODY AKIMTUNZA MKEWE
WAZAZI WA SAMEER WAKIFICHULIWA
MOODY & BEST FRIEND
MPAMBAJI WA UKUMBI...

BI AFUA LIVE...
RAHA ORIGINAL LIVE BAND TAARAB
LEYLA RASHID LIVE
CHAMPAGNE
DANCING 
CHAKULA BY ANKAL YAHYA
MARIM BEST UMENOGA MASH ALLAH
MATUNZANO
BIBI AKITUNZA
BIBI AKIKABIDHI KITANDA CHA SAMEER
KISHA AKAWATUNZA MAMA NA BABA SAMEER
ASANTE MAMA...
MAMA MADENGE AKITUNZWA
EEEH HII NDI ZAWADI YA BABY SAMEER
KHADIJA YUSUF LIVE AKIMSINDIKIZA HUSNA KUTUNZA
AUNTY AKE SAMEER AKSASAMBUA NGUO ZA SAMEER HAPANA CHEZEYA
 AKIMTUNZA MZEE MADENGE
AKIMTUNZA MAMA MZAZI
MAMA MZAA CHEMA
HUSNA AKIMTUNZA MAMA MKWEWE
UMETISHA HUSNA MILLION MBILI SI MCHEZO
KISHA AKAWATUNZA KAKA NA WIFI YAKE
 HUSNA AKITUNZWA
BROTHER & SISTER
 ASHURA AKIMTUNZA HUSNA


WASTARA & KAMPANI WAKIMTUNZA HUSNA
MOODY MADENGE NA MKEWE WAITUNZWA
FATUMA MAGHOROFANI AKITUNZA TISHA SANA
FRIENDS OF JANGWANI WAKIWATUNZA MOODY NA MKEWE
MMEDAMSHIJE FRIENDS OF JANGWANI MNAJUA KUNOGA
HUSNA AKITUNZA...
SHARIFFA KAVU & ASHURA WAKITUWATUNZA BABA NA MAMA SAMEER
DANI MTOTO YA MAMA UMETAMBAJE
SHANI SIMKOKO, TINDWA WAKIMTUNZA MOODY NA MKEWE, MMETISHA
NYUSO
FAMILY...
PAMBE TU FATUMA MAGHOROFANI
HUSNA MADOHORA & BESTIE WIFI
LOVELY
KHADIJA ROZELLA 
AUNT AKE SAMEER KUDAMSHI KAMA YOTE
PHILLY ALL OCATION CAKE
ZUHURA KIZUA & FRIEND
TATU LUMELEZI
 TABU MABOBISHI MAMA WA YANGA MOJA
SAMEERA MNTAMBO PENDEZA DOGO LANGU
TINDWA & SHANI SIMKOKO
WASTARA & PAMBE YAKE
KHADIJA MNYIKA PAMBE SHOSTI
SELFIE
HUSNA & FRIENDS
SHARIFFA KAVU & KITENGE
GREEN CARPET
HUSNA MADENGE
MAMA MADENGE
MZEE MADENGE
AISHA MTENGETI
MC JAMILA
LEYLA RASHID
HUSNA MADENGE & FRIENDS
FAMILIA YA MZEE MADENGE
HUSNA MADENGE & FRIENDS
MAMA MADENGE & BINTI YAKE
SABAHA MUCHACHO & FRIEND
KHADIJA ROZELLA & FRIENDS
MOODY, KHADIJA & FRIEND

Post a Comment

0 Comments