CELEBRATING BABY SAMEER'S MAULID!!!!

MASH ALLAH ALLAH BARIK MAULID YA BABY SAMEER... TULIANZA NA MAULID STAY TUNED KWA SHEREHE YA USIKU PALIKUWA HAPATOSHI HAPO NYUMBANI KWA BABU YAKE SAMEER MZEE MADENGE

MAMA NA MWANA
 MASH ALLAH MAMA AKE SAMEER
MAULID YA BABY SAMEER
BABY SAMEER AKITOLEWA.... NA BIBI MAMA MADENGE
MZEE MADENGE AKISHUKURU 
NYUSO
AUNTY AKE SAMEER & FRIENDS
MOODY & FAMILY MASH ALLAH
MH. ABBAS MTEMVU
MOHAMED MADENGE & FRIENDS
SAMEER'S BABU MZEE MADENGE

Post a Comment

0 Comments