JUMA & IYA AQDI!!!!!

Groom                                  :: Juma
Bride                                     :: Iya
Event                                     :: Aqdi
Venue                                    :: City Mall
Color                                      :: Mixed Colour 
Caterer                                  :: Talma Caterer 
Makeup                                 :: Fettyluqman_makeup
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA MASH ALLAH PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE SANA, SARE IMENOGA MAMA IYA UTABAKI KUWA KILELENI UMETISHA

 MASH ALLAH WAWILI WAPENDANAO
 NEW COUPLE, PENDEZA KAMA YOTE
 STUNNING IYA
 BEAUTIFUL BRIDE
 WHITE ROSE FOR HUBBY
KWA NGUO KAMA HII INAPATIKANA KWA ORDER WASILIANA MAMA IYA-0713380412
 MAKEUP BY FETTYLUQMAN 
MAMA NA MWANA MASH ALLAH
 DECOR
BIHARUSI AKIINGIA
 BWANA HARUSI AKIINGIA KUMPA MKONO MKEWE
 FIRST KISS.... 
 JUMA & IYA WAKIKABIDHIWA VYETI VYA NDOA
 MAHARUSI WAKIENDA KWENYE CHAKULA
NAWAONA DADA ZANGU HIDAYA MCHOWELE, FATMA JANGUO & DOTTO MAGANGA
WARUMBA LIVE WAKIMUUINGIZA BWANA HARUSI KULA KOMBE
 SANDUKU LA WAKWE LIKIINGIA KWA MBWEMBWE ZOTE
 SOMO AKIPOKEA SANDUKU
  WAFANYABIASHARA WA INDIA WAKIMTUNZA MWENZAO MAMA IYA
 MAMA IYA UKO JUU UTABAKI KILELENI CHEZEYA DOLLAR HIZO
MAMA IYA AKIWASHURU NDUGU, MARAFIKI & JAMAA
NYUSO
WAPENDANAO KHADIJA MNYIKA & MAMA IYA
SALMA KESSY & BESTIE
TABU MABOBISHI KIPINI CHA PUA....
BI AFUA NA MABINTI ZAKE MASH ALLAH WAREMBO...
AMINA MENGI & BESTIE.... MMENOGA HATARI
BFF....
BLACK IS BEAUTY 
KUDAMSHI KAMA YOTE... UKO JUUU
MWANAASHA & FRIENDS
FATMA JANGUO LOVE YOU SANA....
HAWA & BESTIE
MWAGUMBO & FRIENDS 
MAMA & THE ONLY DAUGHTER 
WIFIS MKO JUU MTABAKI KILELENI
 MAMA IYA & HAWA BUSINESS WOMEN
 SALMA KESSY, NYOTA & BIHARUSI
 SOMO NA MAHARUSI
 MAMA IYA, SOMO NA MAHARUSI
BYE BYE MAHARUSI

Post a Comment

0 Comments