AL HARAMAIN COMMUNITY CLUB, IFTAR RAMADHAAN 2019

AL HARAMAIN COMMUNITY CLUB, NI WANAFUNZI WALIOSOMA AL HARAMAIN SECONDARY SCHOOL 1997 KILA MWAKA WANAFTUR PAMOJA NA SAFARI NI NYUMBANI KWA AWAADH SAEWAD, UMETISHA BAMKWE HONGERA MOTHER HOUSE HASINA MOO ANGALIA MAPICHA PICHA KIBAO

AL HARAMAIN COMMUNITY CLUB WANAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MITATU ILA KWA MWEZI WA RAMADHAAN KILA MWAKA ALLAH AKIWAJAALIA WANAKUTANA KUFTURU PAMOJA NA KUKAA VIKAO VYAO 
AWAADH SAEWAAD
 MWEKA HAZINA MUHIDINI HATIBU
IFTAR
 KABLA YA IFTAR SWALA SWALA....
NI FURAHA SANA PALE OLD SCHOOL WANAPOKUTANA
MOTHER HOUSE HASINA MOO AKIWAJIBIKA
MUHIDIN HATIBU MWEKA HAZINA WA CLUB

MUHIDIN KAABUKA CLUB MEMBER
PHOTOS
MWENYEKITI YUSUF MADENGE AKITOA MAWAZO YAKE KWA CLUB
KATIBU JAMAL AKISIKILIZA KWA MAKINI....
 AWAADH MWANDAMIZI WA AL HARAMAIN COMMUNITY
ALLY MASOUD, HARUNA MISANA & CHOMBA  
ATHUMAN, ALLY 
RASHID MWANDAMIZI AKICHUKUA VIDEO CLIPS
MOHAMED HATIBU AKIWA NA MEMBERS
AWAADH, RASHID & KATIBU JAMAL AL HARAMAIN COMMUNITY MEMBERS
 ALLY NZOWO AKIWA NA WANAFAMILIA
RAMADHAANI ABDALLAH
MWENYEKITI WA AL HARAMAIN COMMUNITY CLUB YUSUF MADENGE  AKIWA AWAADH SAEWAAD 
 NASIKIA HAPO KUNA CLASS MONITOR...
Post a Comment

0 Comments