HAMADI & MAIMUNA WEDDING RECEPTION!!!

Groom                                   :: Hamadi
Bride                                      :: Maimuna
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Lamada JK Hall
Color                                      :: Peach, Red Blue
Makeup                                 :: Rosed Makeup
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
MASH ALLAH NEW COUPLE IN TOWN HAMADI & MAIMUNA PENDEZA SANA, SHEREHE YA UKWEE'E HONGERENI WANA KAMATI BONYEZA KUONA PICHA ZAIDI

MASH ALLAH BEAUTIFUL
FOREHEAD KISS LOVELY!!! 
BEAUTIFUL COUPLE
MRS HAMADI LOVELY!!!!
SMART GROOM
STUNNING BRIDE!!!!
NEW COUPLE PENDEZA SANA
 BEAUTIFUL MASH ALLAH!!!!
 STUNNING HAMADI & MAIMUNA
ROSED MAKEUP KAZI NZURI
DECOR....///
 MC
WAZAZI WAKIINGIA
 MAIDS WAKISAFISHA NJIA
 HAMADI & MAIMUNA WAKIINGIA
BABA MZAZI AKIWAKARISHA WAGENI KWENYE SHEREHE YA VIJANA WAO
MAIMUNA MAKINI KWA MUME WAKE MASH ALLAH!!!!
 HAMAD AKITOA INTRODUCTION YA FAMILIA
 MAIMUNA  AKITOA INTRODUCTION YA FAMILIA
 SHOW WA WADOGO WA BWANA HARUSI
 BEN PAUL HUYU NI WEWE SI KWA SAUTI HIYO...
 KAKA AKIIMBA SPECIAL SONG KWA MAHARUSI
NASAHA ZA MAHARUSI TOKA KWA BABA MR HAMZA
NASAHA KWA MAHARUSI TOKA KWA MAMA MZAZI WA BIHARUSI
BURUDANI
CHAMPAGNE 
HAMADI & MAIMUNA WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
 CAKE
HAMAD & MAIMUNA WAKIKATA CAKE
 NDAFU....
 HAMAD AKIWA SWEET MOM
 MAIMUNA NA MAMA KIPENZI
CHAKULA
MKONO WA HONGERA NA ZAWADI KWA MAHARUSI
 MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKITUNZWA
 MR & MRS HAMZA WAKITUNZWA...
HAPANA CHEZEYA A-TOWN MMETISHA
 WAKINA MAMA TOKA ARUSHA (KIA) WAKIKABIDHI ZAWADI
KINA MAMA TOKA KIA ARUSHA WAKIWATUNZA MAHARUSI JIKO... HAPANA CHEZEYA MMETISHA
 MAHARUSI WAKIPEWA ZAWADI YA MUONGOZO WA MAISHA YAO MASAAF
MABIBI WAKIWATUNZA MAHARUSI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI YA KIWANJA KIGAMBONI TOKA KWA KAMATI
BABA NA MAMA WAKISHUKURU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
NYUSO
 WAZAZI NA MAHARUSI
MAMA WADOGO NA MAHARUSI

MAMA NA WANAE

Post a Comment

0 Comments