Herry And Zulfa Wedding

Groom        ::Herry Ling'ande
Bride      ::Zulfa Hussein
Event      ::Wedding Reception
Venue   ::Picolo Beach Hotel
Color    ::Orange & Yellow
Makeupby        ::Diva Glam
Photosby       ::Mashughulimedia


MASHAALAH!! HERRY & ZULFA NEW COUPLE IN TOWN, HATIMAYE LEO TUMEFIKIA MWISHO SHEREHE ZA HARUSI YA HERRY & ZULFA, SHUGHULI PAMBE KATA MTI PANDA MTI, CHAKULA KITAMU, MC KATENDA HAKI NI KULA, KUNYWA NA KUCHEZA... BONYEZA KUONA ZAIDI

NEW COUPLE IN TOWN
SMART GROOM
STUNNING.....
BEAUTIFUL BRIDE
 DECOR....
 MC
WAKWE WAKIINGIA
 MALAIKA WAKISAFISHA NJIA
 MAHARUSI WAKIINGIA....
MASHAALAH!!!
 MWENYEKITI REHEMA CHONDE AKIKARIBISHA WAGENI WAALIKWA
 DUA...
CHAMPAGNE
HERRY & ZULFA WAKIKATA CAKE
 CAKE YA KAMATI
 HERRY & ZULFA WAKIFUNGUA MZIKI
NEW BLESSED COUPLE
INTRODUCTION...
ODO REHEMA AKITOA UTAMBULISHO
 WAKWE WAKITOA UTAMBULISHO
WAZAZI WAKIONGEA NA MAHARUSI
HERRY & ZULFA WAKIVISHANA PETE
 SHEREHE ILIFANA SANA MC YUKO VERY SMART WAALIKWA WALICHEZA NA KUNYWA....

CHAKULA CHA JIONI
NILISHE NIKULISHE NDIO ISHARA YA UPENDO...

PENDEZA SANA
MAHARUSI & LIITLE BABY BOY...
 ZAWADI NA MKONO WA HONGERA KWA HERRY & ZULFA
ODO REHEMA & MKWEWE
 WAZAZI WAKIKOSHWA....
WAFANYAKAZI TOKA RITA WAKIWAPONGEZA MR & MRS LING'ANDE
MUNIRA AKIWATUNZA MAMA ZAKE MADINI
MAHARUSI WAKITOA ZAWADI
SISTERZ FOREVER
KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI
HERRY NA MKE WAKE WAKIWASHUKURU WAALIKWA NA FAMILIA
NYUSO
MR & MRS LING'ANDE
MY COUPLE...
MAMA SHUGHULI MAMUUCHONDE UMEDAMSHI
UNCLE....
ODO REHEMA CHONDE NA WAPENZI WAKE
MUNIRA & BEST FRIENDS

AISHA MASIKA & FARIDA SIMBA
JACKIE & UNCLE JUMA...
MAMUUCHOBDE & BESTIE JASMINE
JASMINE SELFIE YA UKWEE'E UMENOGAJE
SELFIE....
BEAUTIFUL WIFI
JASMINE & MAMA MZAA CHEMA
BEST FRIENDS FOREVER
JACKIE & BABY GIRL WAKE HONGERA
BABY GIRL!!!
MUNIRA.... STUNNING
BYE BYE MAHARUSI


Post a Comment

0 Comments