Adam And Mwanjit Wedding
Groom : Adam Felician Temba
Bride   :Mwanjit Hemed
Event   :Wedding Reception
Venue  :GBF Hall
Color  :Green & Pink
Caterer : Mtwana Catering Services (Instagram
Photosby : Mashughulimedia


LOVE IS A WONDERFUL THING, CONGRATULATIONS ADAM & MWANJIT, KWANZA KABISA MAHARUSI MMEPENDEZA SANA MASHAALAH, SHEREHE ILIKUWA PAMBE IMECHANGAMKA MWANZO MWISHO MAMBO YALIKUWA MATATU TU KULA, KUNYWA NA KUCHEZA ILE SERA YA KATA MTI PANDA MTI HAPA NDIO MAHALA PAKE, CHAKULA KITAMU TOKA KWA MTWANA CATERING SERVICES WALE WA NDIZI NYAMA BASI HAWA NDIO WENYEWE

MY BEST COUPLE....
BEAUTIFUL COUPLE 
HENNA MASHALLAH!!!
SMART GROOM
PRETTY MWANJIT
 BEAUTIFUL BRIDE
BRIDE & SQUAD MAIDS 
DECOR....
WAZAZI WAKIINGIA...
 ADAM & MWANJIT WAKIINGIA
KAMATI ILIYOFANIKISHA SHEREHE YA ADAM & MWANJIT
MWENYEKITI WA KAMATI
KAMATI YA UKWEE'E IKIPOKEA ZAWADI YA CAKE
INTRODUCTION
ADAM AKITAMBULISHA FAMILIA
BABU UMETOKAJE....
 MWANJIT AKITAMBULISHA FAMILIA
FIRST,  I & ONLY HUBBY...
CHAMPAGNE
 ADAM & MWANJIT WAKIKATA CAKE
 WAZAZI WAKITOA NASAHA KWA MAHARUSI
ADAM & MWANJIT WAKIFUNGUA MZIKI
MWENDO ULIKUWA NI KULA, KUNYWA NA KUCHEZA
 MR & MRS FELICIAN TEMBA WAKIKATA NDAFU
CHAKULA CHA JIONI BY MTWANA CATERING SERVICES (INSTAGRAM)
CHAKULA CHAO NI KITAMU BALAA 
BURUDANI
 MAHARUSI WAKIPONGEZWA
MR & MRS TEMBA WAKIPONGEZWA
MAMA AKITUNZWA
WAFANYAKAZI WA TANESCO WAKIMPONGEZA MAMA MDOGO NAIMA
 ADAM AKITOA SHUKRAN KWA WAGENI NA FAMILIA
 ADAM AKIWASHUKURU MAMA ZAKE PAMOJA NA MJOMBA
 NYUSO
MAMA ZAKE ADAM MMEDAMSHI
HEINEKEN KAMA YOTE.....UMEDAMSHI
KILA LA KHERI ADAM & MWANJIT

Post a Comment

0 Comments